Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 90 ikiilaza 3-2 Schalke 04 3-2 katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa VELTINS-Arena mjini Gelsenkirchen nchini Ujerumani. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 18 na Leroy Sane dakika ya 85, wakati ya Schalke 04 yalifungwa na Nabil Bentaleb yote kwa penalti dakika za 38 na 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Why the AFL doesn't want you to know who this mystery man is
-
The top brass at AFL headquarters won't be impressed after the reason for
the man's presence at several games was revealed on TV on Monday night.
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment