Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester United dakika ya 45 akimalizia pasi ya Marcus Rashford kufuatia kumsetia Ander Herrera kufunga bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London kwenye mchezo wa Hatua ya 16 Bora Kombe la FA England na kwa matokeo hayo Mashetani Wekundu wanatinga Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment