Mshambuliaji wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Mathias Mulumba katika mchezo wa Kombe La Hedex Juni 30, mwaka 1996 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Yanga ilishinda 2-0, mabao ya Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ na Lunyamila aliyekuwa anacheza mechi hiyo akitokea Ujerumani ambako alikwenda kufanya majaribio ya kucheza soka ya kulipwa
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment