Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Liverpool Sadio Mane na Virgil van Dijk katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester timu hizo zikitoak sare ya bila kufungana. Liverpool inafikisha pointi 66 katika mechi ya 27 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi moja tu sasa zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City, wakati United inafikisha pointi 52 baada ya kucheza mechi 27 ikishuka kwa nafasi moja hadi ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
3 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment