Kipa wa Arsenal, Petr Cech akiuchungulia mpira uliopigwa kwa kichwa na Stanislav Dragun ukitinga nyavuni kuipatia beo pekee BATE Borisov katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League lwo Uwanja wa Borisov Arena BarysawPICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment