Refa Michael Alexander (kulia) akimzuia bondia Chris Eubank Jnr asiendelee kumpiga mpinzani wake, James DeGale usiku wa jana katika pambano la raundi 12 ukumbi wa London's O2 nchini Uingereza. Mtoto wa Eubank alishinda kwa pointi za majaji wote (114-112, 115-112 na 117-109 ) na kutwaa ubingwa wa IBO uzito wa Super-Middle uliokuwa unashikiliwa na DeGale PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment