Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo (kulia) akitafuta namna ya kumpita kiungo wa Atletico Madrid, Saul katika wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania. Atletico Madrid walishinda 2-0, mabao ya  Jose Gimenez dakika ya 78 na Diego Godin dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment