Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya tisa na 20 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine yalifungwa na mshambuliaji Divock Origi dakika ya 66 na Virgil van Dijk mawili pia dakika za 79 na 82 na kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 69 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Napoli held by Casertana on McTominay’s return 🔙
-
Everything happened in the first 45 minutes between Napoli and Casertana.
The fourth pre-season friendly of the azzurri ended in a draw: 1-1, with
goals fr...
8 minutes ago
0 comments:
Post a Comment