Henrik Mkhitaryan (kushoto) na Mesut Ozil wote wakishangilia baada ya kuifungia Arsenal katika ushindi wa 5-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Ozil alifunga dakika ya nne na Mkhitaryan akafunga dakika ya 27, kabla ya kutoa pasi za mabao mengine yaliyofungwa na Laurent Koscielny dakika ya 47 na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 59, huku bao la tano likifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 78, wakati bao pekee la AFC Bournemouth lilifungwa na Lys Mousset dakika ya 30. Arsenal sasa inafikisha pointi 56 katika nafasi ya tano nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 60 baada ya wote kucheza mechi 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
See the touching Billy Slater dressing room act that speaks volumes about
his scandal-plagued State of Origin week
-
The Queensland coach had one of the most stressful build-ups to a match in
his long career as his job hung by a thread in Perth on Wednesday night.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment