Washambuliaji Raheem Sterling na Sergio Aguero wakimpongeza beki na Nahodha wao, Vincent Kompany baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 70 ikiilaza 1-0 Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 95 baada ya kucheza mechi 37 na kurejea tena kileleni mwa Ligi Kuu ikiizidi pointi moja Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
🚨 Out of the blue, Bundesliga club changes its badge
-
The top match between VfL Wolfsburg and FC Bayern is already creating
plenty of storylines before kickoff. After it became public ahead of the
game that Di...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment