HII NDIYO KAMBI WANAYOISHI WACHEZAJI NA MAKOCHA WA SIMBA SC TANGU AGOSTI MOSI MWAKA HUU
Picha tofauti zikionyesha mandhari ya kambi ya wachezaji na benchi la Ufundi la klabu bingwa ya Tanzania, Simba SC iliyopo eneo la Mbweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Wachezaji na makocha wa Simba SC walianza kuitumia kambi hii Agosti 1 mwaka huu kabla ya kuanza msimu mpya wa mashindano
Picha tofauti zikionyesha mandhari ya kambi ya wachezaji na benchi la Ufundi la klabu bingwa ya Tanzania, Simba SC iliyopo eneo la Mbweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment