COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 MKWAKWANI BAO PEKEE LA HAJI UGANDO
Beki na Nahodha wa Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) akimdhibiti mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Coastal Union imeshinda 1-0, bao pekee la Haji Ugando dakika ya 54.
0 comments:
Post a Comment