BEKI MGHANA, LAMINE MORO ALIPOREJESHWA RASMI YANGA SC KUENDELEA NA KAZI BAADA YA KUTISHIA KUONDOKA
Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, beki Mghana Lamine Moro baada ya mchezaji huyo kukubali kubaki kuendelea kuitumikia klabu hiyo kufuatia awali kutaka kuondoka kwa sababu ya kutolipwa mishahara kwa miezi miwili
Item Reviewed: BEKI MGHANA, LAMINE MORO ALIPOREJESHWA RASMI YANGA SC KUENDELEA NA KAZI BAADA YA KUTISHIA KUONDOKA
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment