WALLACE KARIA ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA CECAFA AKIRITHI MIKOBA YA MUTASIM GAFAAR WA SUDAN
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Vyama na Klabu za Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa kipindi cha miaka minne ijayo akmrithi Msudan, Mutasim Gafaar katika uchaguzi uliofanyika leo mjini Kampala, Uganda.
0 comments:
Post a Comment