YANGA SC YASHUSHA MSHAMBULIAJI MUIVORY COAST ALIKUWA ANAKIPIGA GOR MAHIA YA KENYA
Mkurugenzi wa Mashindano wa klabu ya Yanga SC, Thabit Kandoro (kushoto) akiwa na mshambuliaji Muivory Coast, Gislein Yikpe Gnamian aliyekuwa anachezea Gor Mahia ya Kenya baada ya kuwasili leo kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo
0 comments:
Post a Comment