KOCHA MPYA WA SIMBA SC, MBELGIJI SVEN LUDWIG VANDENBROECK ANAVYOPIGA KAZI HADI RAHA
Kocha mpya wa Simba SC, Sven Ludwig Vandenbroeck akiongoza mazoezini ya timu hiyo jana mjni Dar es Salaam baada ya kuanza kazi rasmi akichukua mikoba ya Mbelgiji mwenzake, Patrick Aussems aliyefukuzwa mapema mwezi huu
Sven Ludwig Vandenbroeck akiwa na Msaidizi wake, Suleiman Matola kwenye mazoezi
Sven Ludwig Vandenbroeck ameonyesha ni hodari katika kuongoza kwa vitendo
0 comments:
Post a Comment