Kevin De Bruyne akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya pili kabla ya kufunga na la tatu dakika ya 40, kufuatia Raheem Sterling kufunga la pili dakika ya 15 katka ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa Emirates mjini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
41 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment