Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 49 ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 55 katika mchezo wa 19 na kuendelea kuongoza EPL kwa pointi 13 zaidi ya Leicester City na 17 zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith scores 20 as Central Connecticut takes down VSU-Johnson 117-55
                      -
                    
NEW BRITAIN, Conn. (AP) — Darin Smith Jr.'s 20 points helped Central 
Connecticut defeat Vermont State-Johnson 117-55 on Monday.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment