TANZANIA BARA YAENDELEA KUNG'ARA CECAFA CHALLENGE WANAWAKE U17, YAICHAPA KENYA 3-1 UGANDA
Mabao ya Thabea Munga dakika ya 19, Joyce Meschak dakika ya 45 na Asha Masaka dakika ya 75 yameipa Tanzania Bara ushindi wa 3-1 dhidi ya Kenya katika mchezo wa Kombe la CECAFA Challenge U17 leo mjini Kampala, Uganda.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment