SHANGWE LA MOURINHO BAADA YA SPURS KUPATA BAO LA USHINDI
Kocha Mreno, Jose Mourinho akishangilia kwa furaha baada ya Jan Vertonghen kuifungia Tottenham Hotspur bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Wolverhampton Wanderers 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Spurs ilitangulia kwa bao la Lucas Moura dakika ya nane kabla ya Adama Traore kuisawazishia Wolves dakika ya 66PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment