Jonathan Kodjia akishangilia baada ya kuifungia Aston Villa mabao mawili dakika za 37 na 45 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao usiku wa jana Uwanja wa Villa Park. Mabao mengine ya Aston Villa yalifungwa na Conor Hourihane dakika ya 14, Morgan Boyes aliyejifunga dakika ya 17 na Wesley Moraes dakika ya 90 na ushei na kuitupa nje Lierpool iliyotumia wachezaji wa timu ya vijana kutokana na kikosi cha kwanza kwenda Qatar kwenye Klabu Bingwa ya Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Joel Embiid miffed by FT disparity in 76ers' Game 3 loss to Knicks: 'I
guess it's good when New York wins'
-
The Knicks attempted 32 free throws on Friday night, twice as many as the
Sixers.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment