MSHAMBULIAJI MPYA, TARIK SEIF KIAKALA ALIVYOSAINI KUJIUNGA NA YANGA SC LEO
Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla (kulia) na Katibu Mkuu, David Luhago (kushoto) wakimshuhudia mshambuliaji mpya, Tarik Seif Kiakala akisaini wa kujiunga na timu hiyo leo makao makuu ya klabu, Jangwani mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment