Mshambuliaji Anthony Martial (kushoto) akipongezana na Harry Maguire baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 wa Manchester United dhidi ya wenyeji, Chelsea leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. ) Anthony Martial alifunga la kwanza dakika ya 45 na Maguire akafunga la pili dakika ya 66 na kwa ushindi huo United inafikisha pointi 35 katike mchezo wa 25. Refa Anthony Taylor alitumia msaada wa VAR kukataa mabao mawili ya Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How Jamie Melham went from 'little fat kid' to winning the Melbourne Cup 
after battling back from white powder and Covid scandals
                      -
                    
Jamie Melham will forever be etched in Australian racing record books 
following her triumph in the Melbourne Cup on board Half Yours - but it 
could have be...
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment