Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 62 kufuatia kumsetia Rodri Hernandez kufunga la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Star NFL rookie reveals surprising way he plans to spend his
record-breaking $53m first contract
-
The highly-rated Love was selected No. 3 overall by the Cardinals out of
Notre Dame in last month's NFL Draft and on Friday he formally signed his
four-yea...
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment