WACHEZAJI WA SIMBA WAKIJIFUA TAYARI KUWAVAA LIPULI FC KESHO UWANJA WA SAMORA
Kiungo wa Simba SC, Deogratius Kanda (katikati) akimlamba chenga beki Yussuf Mlipili mazoezini Uwanja wa Samora mjini Iringa jana kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Lipuli FC
Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini Uwanja wa Samora mjini Iringa jana kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Lipuli FC
0 comments:
Post a Comment