MBWANA SAMATTA AKIJIFUA ASTON VILLA IKIJIANDAA KWA MECHI NA TOTTENHAM JUMAPILI VILLA PARK
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa mazoezini na Uwanja wa Bodymoor Heath Jijini Birmingham, timu yake, Aston Villa ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Tottenham Hotspur Jumapili Uwanja wa Villa Park
0 comments:
Post a Comment