Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 78 hilo likiwa bao lake la 100 England katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Carrow Road. Ushindi huo unaifanya Liverpool ifikishe pointi 76 katika mchezo wa 26 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 25 zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Namewee to be remanded over Taiwanese influencer Iris Hsieh’s death; Taiwan
seizes US$150m, detains 25 in Prince Group scam probe: SIngapore live news
-
Namewee wanted in Taiwan influencer Iris Hsieh’s death reclassified murder.
Taiwan seizes US$150 million Prince Group assets, 25 held in scam probe
tied to...
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment