Nyota wa Real Madrid, Eden Hazard akipambana na kiungo wa Celta Vigo, Rafinha katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu Jijini Madrid. Mabao ya Celta Vigo yamefungwa na Fedor Smolov dakika ya saba na Santi Mina dakika ya 85, wakati ya Real Madrid yalifungwa na Toni Kroos dakika ya 52 na lingine kwa penalti ya Sergio Ramos dakika ya 65. Pamoja na sare hyo Real inaendelea kuongoza La Liga kwa pointi moja zaidi ya mabingwa watetezi, Barcelona (53-52) baada ya wote kucheza mechi 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment