Mwanzo > HABARI ZA ULAYA > CHELSEA YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK HABARI MOTOMOTO HABARI ZA KIMATAIFA HABARI ZA ULAYA CHELSEA YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK BAO la penalti la Jorginho dakika ya 45 na ushei jana lilitosha kuipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Everton katika mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool. Sunday, August 07, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA KIMATAIFA HABARI ZA ULAYA
0 comments:
Post a Comment