• HABARI MPYA

    Monday, November 02, 2015

    GEORGE LUCAS ANAPITA WAPI KWA KENNY MKAPA ENZI HIZO?

    Kiungo wa Simba SC, George Lucas (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Yanga SC, Kenneth Mkapa katika wa Ligi Kuu Tanzania Bara Februari 26, mwaka 1994 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 2-0 kwa mabao ya Mohammed Hussein 'Mmachinga' na James Tungaraza (marehemu).

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GEORGE LUCAS ANAPITA WAPI KWA KENNY MKAPA ENZI HIZO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top