SERENGETI BOYS ILIYOWEKA HISTORIA MWAKA 2004, LAKINI...
Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys ambacho kilifuzu fainali za Afrika mwaka 2005 nchini Gambia, lakini kikaenguliwa kwa kashfa ya kumtumia Nurdin Bakari aliyezidi umri.
0 comments:
Post a Comment