HUYU NDIYE 'MWALI' WA AZAM SPORTS HD 2015, NANI ATAJIBEBEA?
Mtendaji Mkuu wa Azam Media Group Limited, Rhys Torrington (kulia) akiwa na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi mbele ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports HD katika ufunguzi wa michuano hiyo Jumatatu wiki hii Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment