Robson-Kanu akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Wales bao la pili dakika ya 55 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Stade Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d'Ascq, Ufaransa. Mabao mengine ya Wales aambayo itakutana na Ureno Julai 6 katika Nusu Fainali yamefungwa na Ashley Williams dakika ya 30 na Sam Vokes dakika ya 85, baada ya Ubelgiji kutangulia kwa bao la Radja Nainggolan dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Azzi Fudd’s quiet WNBA debut won’t change the bigger picture for Dallas
-
Slow start for the rookie, but the big picture is bright.
9 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment