Ben Woodburn akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Leeds United kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England na kuweka rekodi ya mchezaji mdogo zaidi (miaka 17 na siku 45) kuwahi kuwafungia bao Wekundu hao. Bao la kwanza la Liverpool ambayo sasa inakwenda Nusu Fainali ya michuano hiyo, lilifungwa na Divock Origi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Three things we learned from Chelsea draw as tactical tweak unlocks new
blueprint
-
A juggling act on the wing produced a far better team performance against
Liverpool
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment