Ubao ukionyesha mabao 12 ya rekodi yaliyofungwa usiku wa jana katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya wenyeji Borussia Dortmund wakiifunga 8-4 Legia Warsaw ya Poland Uwanja wa Westfalen. Mabao ya Dortmund yalifungwa na Shinji Kagawa mawili dakika za 17 na 18, Nuri Sahin dakika ya 20, Ousmane Dembele dakika ya 29, Marco Reus dakika za 32, 52 na 92 na Felix Passlack dakika ya 81, wakati ya wageni yalifungwa na Aleksandar Prijovic mawili dakika ya 10 n 24, MichaÅ‚ Kucharczyk dakika ya 57 na Nemanja Nikolics dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Jake Paul's fight with Gervonta 'Tank' Davis cancelled amid domestic 
violence lawsuit
                      -
                    
Paul's 'Most Valuable Promotions' confirmed on Monday night that they are 
instead planning for the YouTuber-turned-boxer to headline another event on 
Nextf...
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment