Wachezaji wa Monaco wakishangilia baada ya kuifunga Tottenham Hotspur mahal 2-1 katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana nchini Ufaransa. Mabao ya Monaco yalifungwa na Djibril Sidibe dakika ya 48 na Thomas Lemar dakota ya 53, wakati la Spurs lilifungwa na Harry Kane kwa penalti dakika ya 52. Kwa matoneo haya Spurs inakuwa time ya kwanza ya England kutolewa Ligi ya Mabingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
Tyler Tejada scores 24 as Towson defeats Loyola Maryland 67-56 in opener
                      -
                    
BALTIMORE (AP) — Tyler Tejada's 24 points helped Towson defeat Loyola 
Maryland 67-56 on Monday night in a season opener.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment