SANCHEZ APIGA MBILI, ARSENAL YASHINDA 3-1 EMIRATES
Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez (kulia) akishangilia baada ya kuifungia The Gunners mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Sanchez amefunga dakika za 12 na 90 na ushei, wakati bao la pili lilifungwa na Theo Walcott (kushoto) dakika ya 53, huku la wageni likifungwa na Callum Wilson dakika yaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment