Divock Origi akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza akitokea benchi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland leo Uwanja wa Anfield. Bao la pili lilifungwa na James Milner kwa penalti, baada ya Sadio Mane kuangushwa. Na kwa matokeo hayo Liverpool inarejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England ikifikisha pointi 30 sawa na Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
53 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment