Muargentina Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao yote dakika za 24 na 55 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Celtic, Uwanja wa Celtic Park mjini Glasgow, Scotland katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Barca imesonga mbele pamoja na Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment