Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza kwa penalti Real Madrid dakika ya tano katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sporting Gijon leo Uwanja wa Bernabeu. Ronaldo alifunga na la pili dakika ya 18 wakati la Gijon lilifungwa na Carlos Carmona dakika ya 35, huku Duje Cop akiikosesha bao la kusawazisha timu yake kwa kukosa penalti dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment