Leroy Sane akimrukia mgongoni mkongwe, Yaya Toure kumpongeza baada ya kufunga bao la nne kwa penalti dakika ya 67 Manchester City ikiwachapa 4-0 wenyeji, West Ham United usiku wa jana Uwanja wa London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya City yalifungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 17, David Silva dakika ya 21 na Gabriel Jesus dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Russia-Ukraine war 'coming to an end,' Putin says amid ceasefire,
scaled-back parade
-
Russian President Vladimir Putin is facing a wave of anxiety in Moscow
about the war in Ukraine, which has killed hundreds of thousands.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment