Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (katikati) akimtoka beki wa Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Yanga ilishinda 2-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mfungaji wa bao la pili la Yanga, Ibrahim Hajib (katikati) akishangilia baada ya kuwainua kwa shangwe mashabiki wa timu yake
Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya (kulia) akimiliki mpira dhidi ya beki wa Kagera Sugar
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga jana, Obreu Chirwa
Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Kaitaba
Kikosi cha Kagera Sugar jana Uwanja wa Kaitaba








.png)
0 comments:
Post a Comment