WANAUME WALIOIFIKISHA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA CAF 1993
Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, (sasa limeunganishwa na Kombe la Washindi na kuwa Kombe la Shirikisho) na kufungwa na Stella ya mjini Abidjan, Ivory Coast 2-0 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 mjini Abidjan
0 comments:
Post a Comment