Nyota wa Barcelona, Sergi Roberto akikabidhiwa jezi yenye maandishi ya mkataba mpya aliosaini ambao utauweka katika klabu hiyo hadi mwaka 2022 na klabu ikimtaka italazimika kumnunua kwa Pauni Milioni 440. Hii inazima tetesi za mchezaji huyo kutaka kwenda kuungana na kocha wa zamani wa Barca, Pep Guardiola katika klabu ya Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Housing order introduced after bird flu cases
-
It follows reports of two suspected cases of bird flu in County Fermanagh
and County Tyrone.
30 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment