Marco Asensio akipongezwa na wachezaji wenzake Cristiano Ronaldo (katikati), Gareth Bale (kushoto) na Sergio Ramos (kulia) usiku wa jana baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza kati ya mawili katika ushindi wa 5-3 kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Real Betis Uwanja wa Benito VillamarÃn mjini Sevilla. Asensio alifunga dakika za 11 na 59, wakati mabao mengine yalifungwa na Sergio Ramos dakika ya 50, Cristiano Ronaldo dakika ya 65 na Karim Benzema dakika ya 90 na ushei na ya Betis yalifungwa na Aissa Mandi dakika ya 33, Jose Ignacio Fernandez Iglesias 'Nacho' aliyejifunga dakika ya 37 na Sergio Leon dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Daniel Levy hits back at his critics in rare interview as Tottenham chief
sends warning to his club's fans and reveals why he sacked Ange Postecoglou
and hired Thomas Frank
-
Just 16 days after leading Spurs to a Europa League triumph Postecoglou was
sacked, and replaced by long-time Brentford boss Thomas Frank.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment