Mshambuliaji Romelu Lukaku (katikati) akiwa amewarukia wachezaji wenzake wa Manchester United kushangilia baada ya kufunga bao moja dakika ya 39 na kumsetia Jesse Lingard aliyefunga bao la pili dakika ya 75 wakitoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Chelsea iliyotangulia kwa bao la Willian dakika ya 32 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment