SIMBA SC WALIVYOIFUATA GENDARMERIE DJIBOUTI CITY LEO
Wachezaji wa Simba, beki mzawa, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) na mshsmbuliaji Mganda, Emmanuel Okwi (kulia) wakati wa safari ya kwenda Djibouti Coty leo kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua ya awali Kombe la Shirikisho Afrika na wenyeji Gendarmerie Tnare Jumanne. Simba ilishinda 4-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam jumapili.
0 comments:
Post a Comment