Nyota wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake dakika ya 78 na 88 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Besiktas ya Uturuki kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine yalifungwa na Kingsley Coman dakika ya 52 na Thomas Muller dakika za 43 na 56 katika mchezo ambao, Besiktas ilimpoteza mchezaji wake, Domagoj Vida dakika ya 16 tu alipotolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Robert Lewandowski PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Half Yours wins Melbourne Cup
                      -
                    
Jamie Melham becomes only the second female jockey to win Australia's most 
famous horse race.
24 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment