Kutoka kulia, Neymar, Angel Di Maria na Edinson Cavani wakifurahia baada ya wote kuifungia Paris Saint-Germain katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Strasbourg Uwanja wa Parc des Princes kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa. Cavani alifunga mawili dakika za 73 na 79, wakati Julian Draxler alifunga dakika ya 10, Neymar 21 na Angel Di Maria 22 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment