Mshambuliaji Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao matatu peke yake dakika za tano, 44 na 76 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Girona kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Lionel Messi mawili dakika za 30 na 36 na Philippe Coutinho dakika ya 66, wakati la Girona limefungwa na Cristian Portu dakika ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jordan Pickford reveals the unusual sport he would 'love' to take part in
but is BANNED from due to his footballing career
-
Pickford remains a regular at club level for Everton, where he has played
every Premier League game this season. He has one eye on the summer,
however, whe...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment